Rais Paul Kagame: Uhusiano wa Rwanda na DRC bado ni mbaya, lakini mkutano wa Washington ni hatua muhimu kutafuta suluhu ya mgogor

Nov 30, 2025 - 08:43
 0

Rais Paul Kagame amesema kuwa uhusiano kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado uko katika hali mbaya, lakini mkutano uliopangwa kufanyika Washington kati yake na Rais wa DRC ni hatua muhimu katika kutafuta suluhu ya mgogoro uliodumu kwa miaka mingi.

Amesifu juhudi za Marekani, akisema kuwa utawala wa Rais Donald Trump umefanya kazi muhimu ya kuleta pande zenye mvutano karibu na kuziwezesha kuketi kwenye meza ya mazungumzo.

Kagame aligusia pia ukosefu wa usalama mashariki mwa Congo, akibainisha kuwa kila upande lazima uangalie maslahi yake kabla ya kubali mabadiliko yoyote. Alisema kuwa kama angekuwa ndiye anayeshikilia maeneo kama Goma au Bukavu, asingeyatoa bila mwenzake kuonyesha jinsi atakavyoshughulikia matatizo ya Rwanda.

Kauli hizi zinakuja wakati mvutano kati ya Kigali na Kinshasa ukiendelea, huku kila upande ukishutumu mwenzake kuunga mkono makundi yenye silaha katika Mashariki mwa DRC. Mkutano wa Washington unatazamwa kama fursa ya kupunguza mvutano na kuanzisha njia mpya ya majadiliano kati ya mataifa haya mawili.

Nov 30, 2025 - 08:56