Rais Kagame na Tshisekedi Watarajiwa Kukutana Washington Kutafuta Amani ya Kudumu Kati ya Rwanda na DRC

Dec 1, 2025 - 04:10
 0

Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi, wanatarajiwa kukutana Washington DC tarehe 4 Desemba 2025 katika mkutano mkubwa unaolenga kusaini makubaliano ya amani yatakayomaliza hali ya mvutano imekuwa iharibu uhusiano baina ya mataifa haya mawili.

Mkutano huu umeandaliwa kwa ushirikiano na Marekani, ambayo imeamua kuongeza nguvu katika juhudi za kurejesha uthabiti katika Ukanda wa Maziwa Makuu, hususan katika mikoa ya Kivu ambako hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya na kuathiri wananchi pamoja na jamii ya kimataifa kwa ujumla.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia vya Marekani, mkutano huu unalenga kuweka msingi wa makubaliano rasmi ya amani kati ya Kigali na Kinshasa, kujadili tatizo la makundi yenye silaha yanayopigana mashariki mwa DRC, kuondoa vitendo vinavyozorotesha usalama wa eneo, pamoja na kuhimiza utekelezaji wa mpango mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili. Marekani imeahidi kuendelea kutoa msaada, ushauri na nguvu za kidiplomasia katika mchakato huu ili kufanikisha amani endelevu.