Rais Chapo Asifu Ushiiriki wa Rwanda mu Kurejesha Amani Cabo Delgado

Nov 30, 2025 - 10:10
 0

Rais Chapo alikuwa aherekejwe na Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Meja Jenerali Cristovão Artur Chume; Kamanda Mkuu wa Jeshi la FADM, Jenerali Júlio dos Santos Jane; Kamanda wa Jeshi la nchi kavu, Meja Jenerali André Rafael Mahunguane; pamoja na Uongozi wa Mkoa wa Cabo Delgado ukiongozwa na Valige Tauabo.

Rais Chapo alikuwa na Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Meja Jenerali Cristovão Artur Chume; Kamanda Mkuu wa Jeshi la FADM, Jenerali Júlio dos Santos Jane; Kamanda wa Jeshi la nchi kavu, Meja Jenerali André Rafael Mahunguane; pamoja na Uongozi wa Mkoa wa Cabo Delgado ukiongozwa na Valige Tauabo. Walipokelewa na Mkuu ya Mageshi ya Rwanda, Meja Jenerali Vincent Gatama.

Rais Chapo alionyeshwa hali ya usalama katika maeneo ambayo Mkuu wa jeshi za Rwanda zinafanya kazi na baadaye akazungumza na Wanajeshi na Polisi wa Rwanda banakuwa kwa kazi.

Rais Chapo alisifu kazi kubwa inayofanywa na Wanajeshi na Polisi wa Rwanda kwa kushirikiana na wale wa Msumbiji katika mapambano dhidi ya ugaidi, na akawasihi waendelee kuimarisha juhudi za kupambana na vitendo vya kigaidi.

Akasema: “Nawashukuru sana Wanajeshi wa Rwanda kwa kazi yao ya kipekee wanayofanya hapa Msumbiji, ambayo imewezesha kurejea kwa usalama katika mkoa huu. Endeleeni kufanya kazi kwa pamoja na ndugu zenu wa hapa, kwa sababu hakuna maendeleo yanayoweza kupatikana bila amani na usalama.”

Aliendelea kusema kuwa ugaidi si tatizo la Msumbiji pekee, bali ni tatizo la dunia nzima, na ndiyo sababu umoja, ushirikiano wa karibu na mahusiano mazuri kati ya vikosi vya usalama vya Rwanda na Jeshi la Msumbiji ni muhimu sana katika kuupambana nao.

Nov 30, 2025 - 10:13